japan


TCRA

TCRA LOGO VIDOLE

VODACOM

DAMU SALAMA


TIGO

TUKO WANGAPI


maadili

facebook page

Thursday, October 11, 2012

DIAMOND PLATINUM APIGA KAMPENI YA NGORONGORO CREATER.

Diamond Platinum ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri sana katika game la muziki hapa Tzee hata nje ya Tzee. Habari ambayo tumeipata khusu Msanii huyu ni kwamba kwa siku ya leo ameanza kampeni yake ya Ngorongoro Crater.Baada kupata taarifa hiyo msanii huyu aliandika ujumbe huu katika site yake baada ya kuanza kampeni hiyo huyu hapa anafunguka"Pamoja na kuja kupunguza mawazo lakini sehemu kama hii inasaidia kuelemisha, mwito wangu kwa watanzania wenzangu, mashule hata vyuo waweze kuja hapa, inakuwa rahisi zaidi kumfundisha mtoto kuhusu Simba, Twiga, au bonde la Ngorongoro kwa kumuonyesha hiki kiko hivi, nadhani kama watoto watakuwa wanasoma kwa vitendo hawawezi kushindwa mitihani yao kwa sababu kumbukumbu inabaki kichwani kwa kile walichokiona,”Hayo ndiyo maneno ya mtu mzima Diamond wa wasafi baada ya kufika Ngorongoro.
No comments:

Post a Comment